Song of Solomon 2:6-7

6 aMkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu,
na mkono wake wa kuume unanikumbatia.
7 bBinti za Yerusalemu, ninawaagiza
kwa paa na kwa ayala wa shambani:
Msichochee wala kuamsha mapenzi
hata yatakapotaka yenyewe.
Copyright information for SwhNEN